Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Waziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine
Hii serikali ya mchongo inahuzuni sana wanatuona kama watoto wao nyumbani
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watu wenye nia ovu wanafanyia biashara maisha ya Watanzania kwa kuzusha taarifa za uongo.
Uhai hauna thamani tenaHata kama alikufa mmoja, nani aliyemuua
halafu tunasema kwa nini tz haiendelei kama level ya madakta nihawaHili jamaa kama Zwazwa
Huyu jamaa hana akili wala hekima na serikali yake ya mchongoWaziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine