PostGE2025 Mwigulu: Wanasema walikufa watu Elfu 10, Ulikuwepo?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Waziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine

Hii serikali ya mchongo inahuzuni sana wanatuona kama watoto wao nyumbani
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watu wenye nia ovu wanafanyia biashara maisha ya Watanzania kwa kuzusha taarifa za uongo.

This sonofabitch is completely brainless. Kwanini Serikali haitoi takwimu zake? Polisi sio ndio walikusanya miili?
 
Waziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine

Hii serikali ya mchongo inahuzuni sana wanatuona kama watoto wao nyumbani
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watu wenye nia ovu wanafanyia biashara maisha ya Watanzania kwa kuzusha taarifa za uongo.

mwanaume anashika kiuno?akaguliwe marinda huyu
 
Waziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine

Hii serikali ya mchongo inahuzuni sana wanatuona kama watoto wao nyumbani
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watu wenye nia ovu wanafanyia biashara maisha ya Watanzania kwa kuzusha taarifa za uongo.

Pumbavu! Takataka kabisa.
 
Hata 40 ya yule mama haijapita tiyari waanza kujitapa maana wamemializa kazi ya kuficha ushahidi.
 
Ulikuwepo?

Shida ni wanaharakati mwingine anasema 23000 mwingine 10000 mwingine 2000 hapo tatizo ndio linapoanzia...
 
I see.. yaani hadi AIBU..ni kwamba tumbo lililomleta huyu kiumbe duniani,lililaaniwa??
 
Waziri mkuu yuko sahihi kabisa; hakuna mtu yeyote aliyekufa 29/10. Ila kama ni sisimizi ni kweli wengi sana walikufa... na ndiyo maana ni vigumu hata kujua idadi yao.

Halafu "mukuwe" wazalendo: kifo ni kifo tu.
 
Na huyo ndio "waziri mkuu"

Toeni takwimu Sasa mbona mnaweweseka sana na kutafuta public sympathy!

ICC inawasubiri
 
Waziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine

Hii serikali ya mchongo inahuzuni sana wanatuona kama watoto wao nyumbani
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watu wenye nia ovu wanafanyia biashara maisha ya Watanzania kwa kuzusha taarifa za uongo.

Na Kuna watu wanashangilia baada ya kusema hayo kweli? Watanganyika nani alituroga?
 
Back
Top Bottom