babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Labda pia anaona TUNDU ¹linakua kubwa tu huko matako yananenepa tu.Cha muhimu hapo kwenye adultery iwe Mwijaku alikutwa anamwingilia mwanamke na sio yeye kuingiliana na mwanaume mwenzake. Dunia imebadilika.
Wewe ndio mama yangu... ebu sasa elezea unavyopumuliwa na kupakuliwa tope hapo ulipo...Tunataka uongelea jinsi mama yako anavyopumuliwa na mwijaku ...ili tuone kama anafaa kuwa mke wa mwijaku au akuchukue wewe
Kuna siku utaambiwa mke wako anapelekewa moto bado utaamini ni uongo au kiki... husikariri maisha sio kila jambo ambalo halijakaa kisiasa ni kiki...Watanzania ni wambea sana, na umbea wao ni katika mambo ya kijinga. Hao watu wanatumika sana kuandaa habari za uongo ili kuwapumbaza waache kujadili mambo ya msingi juu ya maisha yao.
Kiki zitakuwa nyingi sana safari hii ili kuwarudisha hao wasanii wajinga kwenye midomo ya watu.
Jaku Boy ni ajatulia... mke ana UTI kila maraIssue ni Kwamba kabaini Kwamba former husband wake naye anapumuliwa kisogoni na matajiri wavaa kanzu Mjini, rinda Hana, boneti zimeshafumuliwa, nati zimeachia...!
Kaona AMUACHE aendeleze na Upinde wake
Acha madogo wajadili ukombozi... ndio kipindi chao, kitaaluma tunaita Active Age, ndio maana Jeshini wanachukua watu wa miaka 18-25 tu kwa ambao hawana taaluma kwa sababu umri huo mwili unakuwa wa moto.Ni aibu kwa mzee kujadili upuuzi na umbea huku madogo wa gen Z wakijadili ukombozi
Kila mtu hawezi kuwa freedom fighter... acha madogo wa alfu 2 wakomboe nchi ndio wakati wao, tunaita Active Age... ndio maana michezoni na jeshini wanapenda kuchukuliwa watoto wa miaka 18-25 umri wao unakuwa ActiveKizazi 99 bado kimebaki kwenye udaku Wakati watoto washaupiga chini
Mambo ya ndoa kuvunjika ni swala la kawaida walivyo patana hawakutujulisha hata kuachana hatutakiwi kujulishwaSasa zinakufia uchochoroni, zingekuwa public, zingepewa public attention
Ukisema hivyo unakuwa huna tofauti na mtu anayesema, mambo ya siasa ni kawaida mno, watu wanaingiza mishahara kwa nini nikapigwe risasi kisa chadema au CCM.Mambo ya ndoa kuvunjika ni swala la kawaida walivyo patana hawakutujulisha hata kuachana hatutakiwi kujulishwa
Wewe mpaka nikutatue marinda ndio ulete heshima
Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui.
Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa Mwijaku alichapisha maneno yanayohusiana na kutengana kunakotokana na Adultery yani kwa Kiswahili Uzinzi, ambapo chapisho linatoa maelezo kuhusu utengano au talaka na madai ya fidia yanayotokana na uzinzi. Uzinzi ni neno linalomaanisha tukio la usaliti linalotendwa na mmoja kati ya watu waliofunga ndoa. Chapisho hilo linasema
View attachment 3515216
Hata hiyo aliyekuwa mke huyo wa Mwijaku pia aliweka maneno katika insta story yake yanayodai kuwa hana tena mapenzi na mwijaku.
View attachment 3515219
View attachment 3515220
Hata hivyo siku moja kabla ya hapo Mwijaku (Jaku Boy) aliandika maneno yanayoonesha kuwa katika sonona baada ya tukio la kuachwa na mke wake, kiasi cha kukosa usingizi.
View attachment 3515222
Mwijaku amekuwa ni mtu mwenye matukio ya usaliti kwa mke wake na matukio mengine ufika hatua ya kusambaa mitandaoni ikiwemo Tukio la video ya ngono akiwa na msanii mwigizaji wa kike anayeitwa Menina, pia na Sakata lake la fumanizi la wanachuo wawili ambao amekuwa akitoka nao kimapenzi akiwachanganya kupelekea mabinti hao kupigana na kudhihirishana mitandaoni huku video zao za ugomvi zikisambaa.
We tumbili wa kihaya kwa umri ulionao sahau kupata pesa...labda uuze figo ...mhaya wa kwanza chawa na hana pesaKila mtu hawezi kuwa freedom fighter... acha madogo wa alfu 2 wakomboe nchi ndio wakati wao, tunaita Active Age... ndio maana michezoni na jeshini wanapenda kuchukuliwa watoto wa miaka 18-25 umri wao unakuwa Active
Mimi umri wangu sasa ni kutafuta pesa, na kula utawala
Usikute muda wote unachati na mwi jay jay mwenyewe.SASA uTUMIE HII FURSA KUOLEWA WEWE DADA. SEMA NAWE UNAJIPA KAZI KUFUATILIA MAISHA YA WANAWAKE WENZIO NA WAUME ZAO.
Huyu atakuwa ndo mkewe huyo anayemsema. Ndo amekuja kuandika huku baada ya kumwacha mumewe.Usikute muda wote unachati na mwi jay jay mwenyewe.
Waongo hao......Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui.