Mwijaku aandikiwa hati ya Madai ya Tsh. Milioni 300 kwa kumdhalilisha Maua Sama

Mwijaku aandikiwa hati ya Madai ya Tsh. Milioni 300 kwa kumdhalilisha Maua Sama

Baada ya Mwemba Burton maarufu @mwijaku kusema na kuandika maneno ya udhalilishaji kwa msanii @mauasama hivi karibuni amejikuta akikalia kuti kavu baada ya Maua Sama kupitia Wakili wake, Claudio Msando kutoka kampuni ya Mawakili na Wanasheria ya Msando Law Office iliyopo Jijini Dar es Salaam – Tanzania, kumuandikia Mwijaku hati ya madai na kumpa Masaa 24 ya kujibu tuhuma hizo za udhalilishaji ikiwa ni pamoja na fidia ya Fedha za Kitanzania TZS Milioni 300.

Endapo atashindwa kufanya hivyo, basi atapelekwa Mahakamani na hatua nyingine za Kisheria zitafuata
Aisee
 
Mwenzake Babalevo anaongea kistarabu, ila huyu Mwemba na Dotto shida tupu, lugha zao siyo za staha.
 
Ifike wakati Mwijaku ajifunxe kwa Baba Levo. Siyo kila neno lazima litoke, chagua maneno ya kutoa.
 
Back
Top Bottom