Siyo kweli. Kutia nia na kuwa mgombea ni vitu viwili tofauti. Una tia nia ili kuomba ridhaa ya chama uteuliwe kuwa mgombea. Sasa unasemaje ni lugha moja.kutia n8a na kugombea ni lugha moja mpaka pale Kamati kuu ya ccm itakapoteua jina moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli. Kutia nia na kuwa mgombea ni vitu viwili tofauti. Una tia nia ili kuomba ridhaa ya chama uteuliwe kuwa mgombea. Sasa unasemaje ni lugha moja.kutia n8a na kugombea ni lugha moja mpaka pale Kamati kuu ya ccm itakapoteua jina moja
kwa Mujibu wa Magufuli kila mtia nia ana haki sawa ya kuteuliwa na kamati kuu , na hasa ikibainika kwamba watia nia walioongoza kura za maoni walimwaga rushwa , as long as kamati kuu haijateua jina kila mtia nia anayo nafasi , alisema korogwe alichukuliwa mshindi wa 4 kugombea ubunge dhidi ya watatu wa juu .Siyo kweli. Kutia nia na kuwa mgombea ni vitu viwili tofauti. Una tia nia ili kuomba ridhaa ya chama uteuliwe kuwa mgombea. Sasa unasemaje ni lugha moja.
Sasa kuwa na nafasi ndiyo kuwa mgombea? Alichomaanisha Magufuli ni kwamba kila alietia nia anayo nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea kama atakua amekidhi vigezo vilivyowekwa na chama.kwa Mujibu wa Magufuli kila mtia nia ana haki sawa ya kuteuliwa na kamati kuu , na hasa ikibainika kwamba watia nia walioongoza kura za maoni walimwaga rushwa , as long as kamati kuu haijateua jina kila mtia nia anayo nafasi , alisema korogwe alichukuliwa mshindi wa 4 kugombea ubunge dhidi ya watatu wa juu .
Ndio ni kioo cha jamii. Unajua maana yake? Ina maanisha ana reflect kinachoendelea kwenye jamii yetu.Alafu wanakuambia Mimi Kioo cha jamii
Ova
Everybody is responsible for what he/she does!View attachment 1520410
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya ccm , amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp.
Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya septemba 15 na octoba 10 mwaka 2019 .
View attachment 1520410

ma celebraty wetu
😂😂😂😂Cele what[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Celebrity😂😂😂😂
Ngoja nirudi kwenye gallery yangu nikainyanyue tena ile video yake na Yule kahab Menina, nilinganishe na ile kondoo nyeupe ya GawajiBoy Uno nione ni mwanasisiem yupi kati yao alongonoka na kondoo tamu tamuView attachment 1520410
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya ccm , amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp.
Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya septemba 15 na octoba 10 mwaka 2019 .
kufikishwa kortini haina ,maana wewe ni mkosefu mimi nasubilia hukumu tuView attachment 1520410
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya ccm , amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp.
Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya septemba 15 na octoba 10 mwaka 2019 .
Bora kabsa! Huyu jamaa anaamini yeye anajua kila kitu,akili zake ni kama Stive Nyerere.View attachment 1520410
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya ccm , amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp.
Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya septemba 15 na octoba 10 mwaka 2019 .
Wenye ccm ni wajumbe ndo maana hawa dizain hii wakaambulia 0CCM ina wenyewe na wenyewe ndo hawa
Mcheki huyu mdau anaitwa cocochanel alisema anazo nyingi tu.Picha zenyewe ziko wapi?