Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

Siyo kweli. Kutia nia na kuwa mgombea ni vitu viwili tofauti. Una tia nia ili kuomba ridhaa ya chama uteuliwe kuwa mgombea. Sasa unasemaje ni lugha moja.
kwa Mujibu wa Magufuli kila mtia nia ana haki sawa ya kuteuliwa na kamati kuu , na hasa ikibainika kwamba watia nia walioongoza kura za maoni walimwaga rushwa , as long as kamati kuu haijateua jina kila mtia nia anayo nafasi , alisema korogwe alichukuliwa mshindi wa 4 kugombea ubunge dhidi ya watatu wa juu .
 
Sasa kuwa na nafasi ndiyo kuwa mgombea? Alichomaanisha Magufuli ni kwamba kila alietia nia anayo nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea kama atakua amekidhi vigezo vilivyowekwa na chama.
 
Everybody is responsible for what he/she does!
 

Si ndio alimchafua sana yule dada? Hawa watu wanaoamini kwenda kuosha nyota mambo yanaishia, wanastahili adhabu ya pekee
 
Ngoja nirudi kwenye gallery yangu nikainyanyue tena ile video yake na Yule kahab Menina, nilinganishe na ile kondoo nyeupe ya GawajiBoy Uno nione ni mwanasisiem yupi kati yao alongonoka na kondoo tamu tamu
 
kufikishwa kortini haina ,maana wewe ni mkosefu mimi nasubilia hukumu tu
 
Bora kabsa! Huyu jamaa anaamini yeye anajua kila kitu,akili zake ni kama Stive Nyerere.
 
Hv ckuizi nasikia Ni mtangazaji wa kipond cha leo tena waa cloudiii
 
Aliyekuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kawe na Mtangazaji wa Clouds, Mwemba Brighton maarufu Mwijaku (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza picha za utupu.

Mwijaku alisomewa mashtaka hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate.

Mwijaku ambaye alikana mashitaka hayo, amekosa dhamana baada ya kushindwa kutimiza masharti ambayo ni kuwa na wadhamini wawili kutoka ama Bongo Movie au tasnia ya muziki wenye barua zilizothibitishwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kusaini kila mmoja Sh. 500,000.



Chanzo: Habari Leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…