Nimekuelewa ila imekaa muda mpaka tulianza kusahau, nikaona huyu jamaa alivyo na maadui labda kuna mtu kamtia nguvu menina asumbue kidogoKesi haijafunguliwa upya bali ilikuwepo na ilikuwa inaendelea.
.
Kukutwa na kesi ya kujibu si kwamba umekutwa na hatia.
.
Bali Hakimu ameona kwamba kulikuwa na sababu za kuonesha kwamba sheria ilivunjwa.
.
Sio GUILD VERDICT.Guilt verdict inafikiwa baada ya utetezi kuleta HOJA zao pamoja mashahidi wao ili kuthibitisha innocense yao.
.
Sasa Katika hatua hii DPP anaweza kuleta ombi la kutokutaka kuendelea na kesi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa sawa chief... Ila huyu jamaa jinga sana unamla mtoto mzuri vile halafu anavujisha heshima ipo wapi kwenye jamii inayotuzunguka kuzalilisha wanawake, wampige faini na mvua kadhaa, ili pia iwe funzo kwa vichaa wengine wenye ujinga wa kuchafua wakina mamaMenina alimstaki mwijaku muda kidogo baada ya uvujwaji wa ile video ila kutokana na kesi nyinyi za Tanzania especially zinazohusisha ushahidi zinachukuwa muda mrefu ndio maana umeona hukumu ndio imetoka leo
Mwijaku ni mfano wa watu wajinga wajinga lakini media hizi bongo zinapenda watu wa aina hii ndio maana wengi wanaajiriwaSawa sawa chief... Ila huyu jamaa jinga sana unamla mtoto mzuri vile halafu anavujisha heshima ipo wapi kwenye jamii inayotuzunguka kuzalilisha wanawake, wampige faini na mvua kadhaa, ili pia iwe funzo kwa vichaa wengine wenye ujinga wa kuchafua wakina mama
DC wetu anaitwa lupango huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa maana hyo insta haina mkuu wa wilaya....
Ni kifungo cha maishaKwahiyo anaweza kwenda jela? Miaka mingapi hivi?
Na lile kalio lake lilivyonenepa akikikutana na nyapara Mandonga lazime agawe utamu.Ni kifungo cha maisha
Hapana wote hamjui ni siribriti!!....humu ni waswahili sisi siyo wazungu!!...any way basi mleta mada weka picha hizo bana!Ni celebrate au celebrity?
HV unamuajirije mtu kama mwijaku alfu anakwenda kuwa muahamasishsaji wa royal tour balafekoniii
ππππ , Pia alisema Simba ikifungwa atatembea uchi , Simba ilifungwa akagoma kutembea Uchi.Huyu mpuuzi yumo ktk ile kamati ya Taifa Star.
Hakika naomba tusiende mbali.
Naunga mkono hojaHuyu mpuuzi yumo ktk ile kamati ya Taifa Star.
Hakika naomba tusiende mbali.
Hii nchi imelaaniwa sanaNchi we baka,we walawiti,we wasokomeze watu chupa mknddn
Mfumo ukiamua kukulinda utakulinda tu
Ova