Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

Kesi haijafunguliwa upya bali ilikuwepo na ilikuwa inaendelea.
.
Kukutwa na kesi ya kujibu si kwamba umekutwa na hatia.
.
Bali Hakimu ameona kwamba kulikuwa na sababu za kuonesha kwamba sheria ilivunjwa.
.
Sio GUILD VERDICT.Guilt verdict inafikiwa baada ya utetezi kuleta HOJA zao pamoja mashahidi wao ili kuthibitisha innocense yao.
.
Sasa Katika hatua hii DPP anaweza kuleta ombi la kutokutaka kuendelea na kesi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa ila imekaa muda mpaka tulianza kusahau, nikaona huyu jamaa alivyo na maadui labda kuna mtu kamtia nguvu menina asumbue kidogo
 
Menina alimstaki mwijaku muda kidogo baada ya uvujwaji wa ile video ila kutokana na kesi nyinyi za Tanzania especially zinazohusisha ushahidi zinachukuwa muda mrefu ndio maana umeona hukumu ndio imetoka leo
Sawa sawa chief... Ila huyu jamaa jinga sana unamla mtoto mzuri vile halafu anavujisha heshima ipo wapi kwenye jamii inayotuzunguka kuzalilisha wanawake, wampige faini na mvua kadhaa, ili pia iwe funzo kwa vichaa wengine wenye ujinga wa kuchafua wakina mama
 
Mwijaku ni mfano wa watu wajinga wajinga lakini media hizi bongo zinapenda watu wa aina hii ndio maana wengi wanaajiriwa
 
HV unamuajirije mtu kama mwijaku alfu anakwenda kuwa muahamasishsaji wa royal tour balafekoniii
 
Back
Top Bottom