Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu pekee ambaye serikali ya ccm inamuogopa ni kijana machachari Paul Makonda Christian.na kujipendekeza kote kwa ccm na kwa mama ila serikali hipo pale pale .
fundisho kwa ccm na chawa
Hao hao kesho wanapewa ubalozi wa makampuni etc teh tehHuyo jamaa sijawahi kumuelewa anachoongea.
Maandalizi ya kunyolewa yameshakamilika....Yawezekana hii kesi alichukulia poa
Ukishakuwa na kesi mahakamani
Muda wote ukae mguu sawa
Akili,mawazo weka kwenye kesi yako
Ukizuba unaweza nyolewa kimzamzaa
Ova
Na utakuta atapita bila kupingwa..Mwijaku simchukulii km mwanaume aliyetimia..
Alafu mtu km huyu unaweza kuta hizi sarakasi zake na uchawa wote target yake ni kuja kugombea ubunge 2025 kule kazula mimba-kigoma Kwa tiketi ya CCM na anapita..sijui tumelogwa na Nani watz
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Leteni tuKuna mtu atakuja kuomba connection
Huyu jela akienda hatokaa sanaMaandalizi ya kunyolewa yameshakamilika....
Burton akajisalimishe kwenye ile familia ya yule binti na aombe Mungu wamsamehe..otherwise nitolee.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
HahahaAtalipa tu fain 500k huku sisi tukiendelea kuangalia matako ya menina Kama maganda ya malimao huko site yetu pendwa ya kumi za kirumi
Cha msingi ameshatufunulia li kurumbembe limoja tunalijua nje ndani
We chalii imepuliza bange la Matejoo au la Ngaramtoni?Mi CCM ndio ilivyo.
Mambo gani tena hayo best. Tunamkumbuka Warumi sasa no ........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na zipo nyingi zaidi.