Mwijaku alishindwa nini kununua kiwanja kinachoendana na mipango yake ya ujenzi? Kampuni ya ujenzi ilishindwa kumshauri?

Shida watu wanaangalia muonekano wa nyumba na jengo lenyewe Kwa ujumla wake bila ku-consider other factor kama materials zilizotumika maana siku hizi Kuna vyoo mpaka vya 2m huku mwingine akiweka choo aina ya SAWA kikiuzwa 240,000.

Kuna vigae vya China, Mkuranga, Spain, SA etc achilia mbali gharama za wataalam kuanzia ramani mpaka aliehusika kujenga
 
Kwa yale marangi rangi nawewe unaingia kingi kuna nyumba ya Bilioni moja pale? Ile nyumba hata 250M haifiki!
 
Ile nyumba kwa ile finishing hata 250M haimalizi.
 
Hii estate ipo maeneo gani?
 
Hujielew wewe


Hivi unaijua endorsement wewe ?

Taja kampuni anayofanyia kazi Mwijaku ya kumpa milion 20 Kwa kazi !
 

Acre 1 ni 64 x 64 kwahiyo haina tofauti sana na 'tuviwanja' vya 40 x 60 Chief.
 
Ile nyumba haina eneo kubwa, garden haizidi mita 8, hana compound/Reserve area wala parking ya maana
 
Atakayepovuka kwa ushauri kama huu ni mpumbaf.
 
Asilimia 99%, hapa Tanzania hatupendani... Umesubili nyumba iishe kujengwa, alafu ndo uje kubwabwaja hapa jukwani?.
Nimtetee kidogo!

Yeye 'hakusubiri' amalize, bali aliangalia kashifa ya babalevo iliyolenga kumdhihaki chawa mwenzake Mwijaku.

Kwani hiyo clip wee haujaiona bwashee?
 
Acre 1 ni 64 x 64 kwahiyo haina tofauti sana na 'tuviwanja' vya 40 x 60 Chief.
ikishakua tofaut bas ni tofauti.. haina tofaut sana wala tofaut kidogo 😅😅.
Utani tu chief..not serious..
Ila mi binafsi sipend tuviwanja tudogo..
Nachukia sana ile unakuta nyumba zinapeana mgongo au ubavu haizid hata mita 10 apart...i real hate that mkuu
 
Sawa basi achana na parking,sehem ya kibustan je? Kulima mboga mboga na matunda imekoseka na ni pafinyu mno
 
Usisahau
kupigwa na mafundi😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…