Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Shida watu wanaangalia muonekano wa nyumba na jengo lenyewe Kwa ujumla wake bila ku-consider other factor kama materials zilizotumika maana siku hizi Kuna vyoo mpaka vya 2m huku mwingine akiweka choo aina ya SAWA kikiuzwa 240,000.Hahah mkiambiwa mtoke mikoani mje mjini hamtaki[emoji28] Nyumba ya marehemu Mchungaji Rwakatare umeiona? Nyumba ya Askofu Kakobe? Vipi nyumba ya Nabii Goe Davie? Nyumba za Lugumi?
Haya basi tafuta nyumba ya Doreen aliyefanyiwa sendoff juzijuzi ambaye alipewa zawadi na Baba yake Bilionea Tarimo. Nyumba ipo Shanti Town, Moshi.
Kuna vigae vya China, Mkuranga, Spain, SA etc achilia mbali gharama za wataalam kuanzia ramani mpaka aliehusika kujenga