Mwijaku amjibu Gwajima, atangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe

Mwijaku amjibu Gwajima, atangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe

Kada wa CCM Mwijaku Burton ametangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe baada ya kile alichosema kuwa ni Gwajima kugeuka kuwa mwanaharakati baadala ya kutekeleza ilani ya CCM. Mwijaku ameyasema hayo kupitia mtandao wa X.


View: https://x.com/MwijakuBurton/status/1926548213298827375?t=d-M9UhB1ypel7t9I5hfbeA&s=19

Pameanza kuchangamka
FB_IMG_1748143413489.jpg
 
Back
Top Bottom