Twitter imekua ngumu ata kucreate account naona ma picha picha tuNipe Siri ya kufikia Twitter,Nina siku tatu haifunguki kwangu
Anajaribu kutafuta uungwaji wa wanaccm wajinga wenzie mara baada ya kushambuliwa na Vyombo vinavyotetea hakiKada wa CCM Mwijaku Burton ametangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe baada ya kile alichosema kuwa ni Gwajima kugeuka kuwa mwanaharakati baadala ya kutekeleza ilani ya CCM. Mwijaku ameyasema hayo kupitia mtandao wa X.
View: https://x.com/MwijakuBurton/status/1926548213298827375?t=d-M9UhB1ypel7t9I5hfbeA&s=19
Ndio akili za CCM, Mambo serious wanatumia Wapumbavu kujibu hoja za Msingi.Kada wa CCM Mwijaku Burton ametangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe baada ya kile alichosema kuwa ni Gwajima kugeuka kuwa mwanaharakati baadala ya kutekeleza ilani ya CCM. Mwijaku ameyasema hayo kupitia mtandao wa X.
Huyo mbakaji wa vitoto vya chuo anatafuta Kiki kwenye mambo serious. NonsenseKada wa CCM Mwijaku Burton ametangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe baada ya kile alichosema kuwa ni Gwajima kugeuka kuwa mwanaharakati baadala ya kutekeleza ilani ya CCM. Mwijaku ameyasema hayo kupitia mtandao wa X.
View: https://x.com/MwijakuBurton/status/1926548213298827375?t=d-M9UhB1ypel7t9I5hfbeA&s=19
Mtandao wa X wenyewe hadi VPN
VPNNipe Siri ya kufikia Twitter,Nina siku tatu haifunguki kwangu
Hauna vpn? Download vpn then iwashe na kuconnect utaingia twitter vizuri sanaNipe Siri ya kufikia Twitter,Nina siku tatu haifunguki kwangu
No reforms no electionsKawe jimbo la Vidume aende Ilala huko kwa akina Haji Manara 🐼
Pameanza kuchangamkaKada wa CCM Mwijaku Burton ametangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe baada ya kile alichosema kuwa ni Gwajima kugeuka kuwa mwanaharakati baadala ya kutekeleza ilani ya CCM. Mwijaku ameyasema hayo kupitia mtandao wa X.
View: https://x.com/MwijakuBurton/status/1926548213298827375?t=d-M9UhB1ypel7t9I5hfbeA&s=19
ILANI NNE KUU (4K)Kada wa CCM Mwijaku Burton ametangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe baada ya kile alichosema kuwa ni Gwajima kugeuka kuwa mwanaharakati baadala ya kutekeleza ilani ya CCM. Mwijaku ameyasema hayo kupitia mtandao wa X.
View: https://x.com/MwijakuBurton/status/1926548213298827375?t=d-M9UhB1ypel7t9I5hfbeA&s=19
Tumia vipiniNipe Siri ya kufikia Twitter,Nina siku tatu haifunguki kwangu
Hajateuliwa, ukishaona mwanaume ana mitako kumzidi mke wake hapo elewa hamna mtu.Kwahiyo huyu ndio wamemteua kumjibu Gwaji boy?🤣