Ila ndio kaliamsha dude sasa.. πππHajateuliwa, ukishaona mwanaume ana mitako kumzidi mke wake hapo elewa hamna mtu.
Huyu ni wa kupuuzwa tu hana impact yoyote labda kwa wajinga wenzake wanaomfollow Instagram.
mimi hii ni wiki sasa siwezi kuona chochote xNipe Siri ya kufikia Twitter,Nina siku tatu haifunguki kwangu
Huyo kwa Gwajima ni takataka tu, muulizeni Kadinali Pengo na Bashite ndio wanamjuwa vizuri Gwajima.Ila ndio kaliamsha dude sasa.. πππ
Siri ni moja tu VPNNipe Siri ya kufikia Twitter,Nina siku tatu haifunguki kwangu
Huyohuyo mwenye mitako kama Kajala.Mwijaku huyu huyu chizi chizi au yupi
Kawe hawawezi kumkubali "SI RIZIKI"Mwijaku amjibu Gwajima atangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe
Kada wa CCM Mwijaku Burton ametangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe baada ya kile alichosema kuwa ni Gwajima kugeuka kuwa mwanaharakati baadala ya kutekeleza ilani ya CCM. Mwijaku ameyasema hayo kupitia mtandao wa X.
View: https://x.com/MwijakuBurton/status/1926548213298827375?t=d-M9UhB1ypel7t9I5hfbeA&s=19
Uchoyo sio mzuri. Pakua hiyo utanishukuru baadaeNipe Siri ya kufikia Twitter,Nina siku tatu haifunguki kwangu
Mkuu twitter wameipiga chini serikali.Nipe Siri ya kufikia Twitter,Nina siku tatu haifunguki kwangu
Twitter ilikuwa na shida dunia nzima kwa siku kadhaa sasa. Mimi jana nimefanikiwa ku-log in bila VPNMkuu twitter wameipiga chini serikali.
Tumia vpn kuingia mzee
Bora umemwambiaKawe jimbo la Vidume aende Ilala huko kwa akina Haji Manara πΌ
π€£π€£π€£ππHajateuliwa, ukishaona mwanaume ana mitako kumzidi mke wake hapo elewa hamna mtu.
Huyu ni wa kupuuzwa tu hana impact yoyote labda kwa wajinga wenzake wanaomfollow Instagram.