Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mchambuzi na mtangazaji wa burudani Mwijaku amemlipua vikali Kajala Masanja kufuatia mahojiano yake mapya ambapo alizungumzia tetesi za mwanaye Paula kuchangia ("kushare") penzi na msanii Harmonize. Mwijaku amemlaumu Kajala kwa kuruhusu mazungumzo hayo kuruka hewani, akimtuhumu kwa kutafuta kiki (clout chasing) na kumdhalilisha binti yake.