Mwijaku amlipua Kajala! Kuongelea kushare penzi la Harmonize na Paula!

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Mchambuzi na mtangazaji wa burudani Mwijaku amemlipua vikali Kajala Masanja kufuatia mahojiano yake mapya ambapo alizungumzia tetesi za mwanaye Paula kuchangia ("kushare") penzi na msanii Harmonize. Mwijaku amemlaumu Kajala kwa kuruhusu mazungumzo hayo kuruka hewani, akimtuhumu kwa kutafuta kiki (clout chasing) na kumdhalilisha binti yake.
Your browser is not able to display this video.
 
Mwijaku hivi hana mambo yake binafsi ya ku deal nayo?
 
Mm huwa najiuliza inakuaje mtu unaishi maisha yako kuwa chawa?
Yaani huwa nahisi hawa watu kama haziko hivi..

Na wabongo huwa tunapenda sana drama ndo maana imekuwa industrialized
 
Mm huwa najiuliza inakuaje mtu unaishi maisha yako kuwa chawa?
Yaani huwa nahisi hawa watu kama haziko hivi..

Na wabongo huwa tunapenda sana drama ndo maana imekuwa industrialized
Nikisomaga threads zako naona wewe na mwijaku wote hamjielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…