Mwijaku anasema ukiwasikiliza watu utakufa maskini. Epuka watu wanaokuambia unajidhalilisha, fainali ni uzeeni

Mwijaku anasema ukiwasikiliza watu utakufa maskini. Epuka watu wanaokuambia unajidhalilisha, fainali ni uzeeni

Yani mpka miaka 30 ijayo bado atakuwa hapo hapo kwenye hicho kijigorofa
 
hizo ni content pia. mwijaku ana degree ya creative arts ya udsm

mfano hiyo content itatrend sana na yeye ndio lengo lake kuu kwenye sanaa bunifu
Wengi huwa hawajui hili ..we utaona hata humu huu uzi unaeza fika mbali ..jina lake linakua bado liko juu

Jamaa anatumia degree yake ya FPA vzr sana
 
kujishusha kunalipa. nyie mchekeni mwenzenu anaishi maisha mazuri
Mimi nahisi kuna kitu hakipo sawa

Alianzaje, alianza kama internet personality/commentator au chawa?

Uchawa ndo unamuingizia hela kuliko mishe zake nyingine?

Kuna mambo hayapo wazi.
 
Mimi nahisi kuna kitu hakipo sawa

Alianzaje, alianza kama internet personality/commentator au chawa?

Uchawa ndo unamuingizia hela kuliko mishe zake nyingine?

Kuna mambo hayapo wazi
mwijaku alianza kama content creator

content creation inahitaji Niche choosing,

mwijaku amechagua uchawa kama niche yake katika kujenga jina ama brand yake na kupata pesa

mwijaku anapata hela sababu ya brand yake ambayo anaikuza kwa kutumia content za uchawa.

mwijaku ni content creator, ndio maana kila siku lazima atengeneze tukio la kupost kwenye account zake.

kuanzia nyumbani kwake anaanza kutengeneza content, either na mkewe, ama mwanae ama mlinzi wake matias
 
Yani mpka miaka 30 ijayo bado atakuwa hapo hapo kwenye hicho kijigorofa
Lakini asilimia zaidi ya 90 ya watanzania mpaka wanakufa hata kumiliki hicho kighorofa wanakuwa hawana huo uwezo na wengine hata pesa yao ya pension haiwezi kukijenga kwa muda wote waliofanya kazi.
Siwezi kufanya anachokifanya ila maisha hayana formula ishi unavyoweza
 
Mwajaku ni idiot lakini anachosema ni uhalisia hao wanasema anajidhalilisha hawana cha kumsaidia maishani mwake.As long as anapata hela halali hakiaribiki kitu
 
Kimsingi watu waoga na wenye aibu wataishi kwenye ufukara maisha yao yote. Maskini wengi wako tayari kufanya kazi ya laki 5 maisha yao yote kisa wanavaa suruali za kitambaa na tai kila siku asbh wanapoenda kazini. Tukiachana na Mwijaku hata kwenye ujasiriamali/biashara wanaopiga hela ni wale majasiri wasio na aibu. Unapoanza safari huwa Mungu anakuja kukusaidia huko mbeleni. Wale wanaosemaga "nilianza na nyoya la kuku sasa hivi namiliki kampuni ya kuuza kuku" huwa ni kweli walianza hivyo ila hapo katikati kuna michongo ilitokea akapata tobo na kutoboa. Hiyo michongo haiwezi kukujia ukiwa hujaanza. Kama kipato chako ni chini ya Tsh 27m (USD 10K) kwa mwaka tambua wewe bado ni fukara la kutupwa.
 
Back
Top Bottom