Mwijaku apita mitaani kuhamasisha wananchi ujio wa Royal tour.

Mwijaku apita mitaani kuhamasisha wananchi ujio wa Royal tour.

Duuu! Huyu hana lolote zaidi ya kusaka teuzi mpumbavu
 
Royal Tour iko kwenye movie, ambayo bado hata haijazinduliwa Tanzania, kwanini asisubiri izinduliwe Tanzania ndio aanze uhamasishaji?

Hii kazi ya uchawa siku hizi imekuwa kubwa wengi hawaoni tena aibu kuifanya, na wanaifanya kwa nguvu zote, sijui kama taifa linatengeneza vijana wa aina gani.
 
bongo wapuuzi wa mitandaoni wanapiga hela vizuri tu,Muna Love akirushurusha manyonyo yake juu kesho yake anapewa ubalozi wa kampuni kubwa ya vinywaji na chakula.
 
bongo wapuuzi wa mitandaoni wanapiga hela vizuri tu,Muna Love akirushurusha manyonyo yake juu kesho yake anapewa ubalozi wa kampuni kubwa ya vinywaji na chakula.
Hahaha

Kesho spiderman wa bongo anakula shavu

Ova
 
Back
Top Bottom