Mwijaku atangaza kuuza jumba lake baada ya kushindwa ujenzi

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Baada ya siku kadhaa kutangza kushindwa kuendelea na ujenzi wa jumba lake Dc mwijaku kupitia ukurasa wake wa instagram ameamua kuweka wazi kuwa ana luza jumba lake hilo kwa thamani ile ile aliokuwa ana omba kumalizia kwenye finishing ya jumba hilo.

"""kujenga nyumba ni upetevu wa pesa kwa kweli hasa nyumba kubwa natangaza rasmi nauza ghorofa langu la bweni kwa bil 1.5 njoo dm sitaki kufa masikini kama zakayo"" amendika Mwijaku.

1787549654681.png

mwijaku.png
 
Uchawa ni kujidhalilisha
Subirini miaka ya mbele kina Dotto magari watakuja kuwalilia watanzania
 
Baada ya siku kadhaa kutangza kushindwa kuendelea na ujenzi wa jumba lake Dc mwijaku kupitia ukurasa wake wa instagram ameamua kuweka wazi kuwa ana luza jumba lake hilo kwa thamani ile ile aliokuwa ana omba kumalizia kwenye finishing ya jumba hilo.

"""kujenga nyumba ni upetevu wa pesa kwa kweli hasa nyumba kubwa natangaza rasmi nauza ghorofa langu la bweni kwa bil 1.5 njoo dm sitaki kufa masikini kama zakayo"" amendika Mwijaku.

View attachment 3655951

View attachment 3655952
Kimfaacho mtu chake, kujenga siyo lelemama.
 
AIsee maisha kweli hayana formula ,kutoka kuiba simu clouds na kufukuzwa kazi hadi kumiliki majengo ya ghorofa mawili Mbweni na kigamboni.
 
Baada ya siku kadhaa kutangza kushindwa kuendelea na ujenzi wa jumba lake Dc mwijaku kupitia ukurasa wake wa instagram ameamua kuweka wazi kuwa ana luza jumba lake hilo kwa thamani ile ile aliokuwa ana omba kumalizia kwenye finishing ya jumba hilo.

"""kujenga nyumba ni upetevu wa pesa kwa kweli hasa nyumba kubwa natangaza rasmi nauza ghorofa langu la bweni kwa bil 1.5 njoo dm sitaki kufa masikini kama zakayo"" amendika Mwijaku.

View attachment 3655951

View attachment 3655952
Kick
 
Back
Top Bottom