Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kimfaacho mtu chake, kujenga siyo lelemama.Baada ya siku kadhaa kutangza kushindwa kuendelea na ujenzi wa jumba lake Dc mwijaku kupitia ukurasa wake wa instagram ameamua kuweka wazi kuwa ana luza jumba lake hilo kwa thamani ile ile aliokuwa ana omba kumalizia kwenye finishing ya jumba hilo.
"""kujenga nyumba ni upetevu wa pesa kwa kweli hasa nyumba kubwa natangaza rasmi nauza ghorofa langu la bweni kwa bil 1.5 njoo dm sitaki kufa masikini kama zakayo"" amendika Mwijaku.
View attachment 3655951
View attachment 3655952
nakazia ila sina uthibitishoHuyo ni dalali kama aliyo dotto magarii
Was this necessary here 😁Noma sana kazi kuumiza roho walimu tu
Samahan kama nmekukwaza inaonekana una stress sana usijali, yatakwisha matatizoWas this necessary here 😁
KickBaada ya siku kadhaa kutangza kushindwa kuendelea na ujenzi wa jumba lake Dc mwijaku kupitia ukurasa wake wa instagram ameamua kuweka wazi kuwa ana luza jumba lake hilo kwa thamani ile ile aliokuwa ana omba kumalizia kwenye finishing ya jumba hilo.
"""kujenga nyumba ni upetevu wa pesa kwa kweli hasa nyumba kubwa natangaza rasmi nauza ghorofa langu la bweni kwa bil 1.5 njoo dm sitaki kufa masikini kama zakayo"" amendika Mwijaku.
View attachment 3655951
View attachment 3655952
Sijui kwa nini watu wanashindwa kuelewa!Huyo ni dalali kama aliyo dotto magarii