Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Machawa wa Rais Samia kwa Mkoa wa Dar es Salaam

Tukiambiwa watanzania akili zetu kisoda huwa tunatokwa mapovuu kwelikweli..
 
Kwa mwendo huu haishangazi vijana wengi wanakuwa mashoga. Mwanaume unakubali vipi kuitwa chawa wa mama?
Una maana chawa ni mashoga au ni sawa na mashoga au hawana tofautoi na mashoga!
 
Jina la Chawa sio jina zuri na halileti picha nzuri. Nawashauri watumie jina la "Vijana wa Mama" inaleta picha positive.
Hawana washauri jina linamchafua mama kuliko kum brand.
 
Hatimae wapigwa marufuku sijui watakata rufaa au watakaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…