GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi Mwanaume kabisa Timamu kwa kuwajua Wanawake walivyo na Changamoto zao za Kibaiolojia unaweza kweli kabisa Ukahoji ni kwanini wakienda Vyooni huwa wanakaa muda mrefu? Kuna taarifa fulani niliambiwa kuhusu huyu Jamaa nikawa nabisha ila sasa baada ya huu Upuuzi naanza Kuiamini.
Chanzo cha Taarifa ya Kukasirika kwakuwa Mkewe alikaa sana Chooni, hasa kwa wale Matomaso wa hapa JamiiForums (namaanisha wasioamini) ipo katika Mtandao wa Bongofive piteni huko mkaione na mumuone pia Mkewe ambaye hata siuoni Uzuri wake wowote.