Mwijaku: Juzi niligombana na Mke wangu kwakuwa alikaa chooni muda mrefu

Kama ni kweli hayo, huyo ni mpumbavu.
 
Mwijaku ni moja kati ya malimbukeni wakubwa mno wa maisha. Hatokuja kustaarabika mpaka kufa kwake.

Mwijaku hana staha ya maisha yake wala ya wenzake, ni swala la muda hata makampuni yataacha kumtumia sababu ya kukosa kwake adabu.
Makampuni ya bongo ndio yanataka mtu aina ya mwijaku
 
Huu uzi umeditiwa nini ?! Neno 'kuukweka ' mbona silioni tena?
Na bahati mbaya kila wanapojaribu kufuta maneno yangu ya Kiubunifu ndiyo yanakuwa yanapendwa na kutumika na Wengi hapa. Kuukweka maana yake ni kutoa Haja Kubwa ( Kupuu ) na Popoma maana yake ni Mpumbavu na Mkuyenge maana yake Uume.
 
Mwijaku hana hadhi ya kujadiliwa hapa JF, hili bandiko linastahili Sana kuwekwa huko FB
 
Hamna kibomba humo chooni, isije kuwa DC anapiga mashuti nje ya holi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…