Mwijaku na Baba Levo vipi unadhani wana uwezo wa kushika nyadhifa za juu za kwenye nchi?

Mwijaku na Baba Levo vipi unadhani wana uwezo wa kushika nyadhifa za juu za kwenye nchi?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Mwijaku na baba levo vipi unadhani wanauwezo wa kushika nyazifa za juu za kwenye nchi ?


FB_IMG_17512874798370782.jpg
 
Kama Samia kaweza hao wanashindwa nini? Tofauti ni kwamba Hawa wataendelea kuomba omba hela Kwa matajiri hata wakiwa viongozi..
 
Kwa Tanzania uwezo wanao. Watangazaji watashindwa kuongoza nchi!? Hakuna mtanzania aliyewahi kushindwa nyazifa za juu tangu tupate uhuru. Ukiona mtanzania anaondolewa kwenye wazifa ujue amekanyaga maalahi ya watu au akili yake imekuwa kubwa kuliko waliopo.
 
Baba levo yupo vizuri kichwani, huwa anapenda kuzirusha tu. Ila anaweza kuwa Mbunge mzuri kuliko wabunge wengi tu. Ila Mwajiku ni Takataka
 
Back
Top Bottom