Mwijaku na Babalevo leo Bungeni

Mwijaku na Babalevo leo Bungeni

NI UJINGA JUU YA UJINGA HADI KWENYE TAASISI NA MHIMILI MKUU WA NCHI.
WANASHINDWA KUALIKA WAVUMBUZI KAMA KINA KIPANYA, WATU MASHUHURI WALIOFANYIA NCHI MAKUBWA WAO WANAALIKA HAO JAMAA.
KAMA TAIFA KUNA JAMBO HALIKO SAWA
Upumbavu pumbavu tuu…
 
Kuna mkuu wa mkoa mmoja kwenye sherehe ya kampain ya tokomeza zero ya jokate mwegelo amewahi kusema nchii hii vitu vya hovyo ndo vinapewa attention na media ,alishambuliwa vikali sana ila aliongea ukweli.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Zamani wa Dar, Ma-Dereva; alikuwa anamsema "Pierre Liquid". Pierre Liquid akawa mdogo kama "Punje ya Aladali".
 
Kuna mkuu wa mkoa mmoja kwenye sherehe ya kampain ya tokomeza zero ya jokate mwegelo amewahi kusema nchii hii vitu vya hovyo ndo vinapewa attention na media ,alishambuliwa vikali sana ila aliongea ukweli.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Bashite kwa lile alitoa boko. Kwenye ile siku watu walikusanyika pale kuchangia kampeni na Pierre Liquid alitoa shilingi za kutosha tu. Sasa kama kiongozi kwa ile personal attack hakuonyesha busara.
 
NI UJINGA JUU YA UJINGA HADI KWENYE TAASISI NA MHIMILI MKUU WA NCHI.
WANASHINDWA KUALIKA WAVUMBUZI KAMA KINA KIPANYA, WATU MASHUHURI WALIOFANYIA NCHI MAKUBWA WAO WANAALIKA HAO JAMAA.
KAMA TAIFA KUNA JAMBO HALIKO SAWA
Unaona mbali sana mkuu, tuna tatizo kubwa japo hatulijui na ukiwa na kimadaraka cha litaifa ule ugonjwa unajitokeza zaidi.
 
PICHA: Watangazaji Brighton Mwemba maarufu Mwijaku na Revocatus Chipando maarufu Babalevo ni miongoni mwa Wageni waliofika Bungeni Dodoma leo February 02,2023 kujionea shughuli mbalimbali za Bunge zinavyoendeshwa kwa mwaliko wa Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson.
Picha
 
Kuna mkuu wa mkoa mmoja kwenye sherehe ya kampain ya tokomeza zero ya jokate mwegelo amewahi kusema nchii hii vitu vya hovyo ndo vinapewa attention na media ,alishambuliwa vikali sana ila aliongea ukweli.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Watz wanapenda umbea na mambo ya kujua maisha ya watu.........Makonda alimsema yule mlevi Pierre,pamoja na mapungufu ya Bashite ila alikuwa sahihi sana....
 
Kama bunge limekaa kimyaaaa bei ya chakula iko juu angani ila wao hawajali wanaita watu km hawa bungeni ....wala haiitaji kutumia akili kubwa kujua kuna tatizo mahali ..kwa ufupi sisi ni wapumbavu
 
NI UJINGA JUU YA UJINGA HADI KWENYE TAASISI NA MHIMILI MKUU WA NCHI.
WANASHINDWA KUALIKA WAVUMBUZI KAMA KINA KIPANYA, WATU MASHUHURI WALIOFANYIA NCHI MAKUBWA WAO WANAALIKA HAO JAMAA.
KAMA TAIFA KUNA JAMBO HALIKO SAWA
Kila mtanzania ana haki ya kualikwa. Tusiwe na roho mbaya na chuki kias hiki jamani
 
NI UJINGA JUU YA UJINGA HADI KWENYE TAASISI NA MHIMILI MKUU WA NCHI.
WANASHINDWA KUALIKA WAVUMBUZI KAMA KINA KIPANYA, WATU MASHUHURI WALIOFANYIA NCHI MAKUBWA WAO WANAALIKA HAO JAMAA.
KAMA TAIFA KUNA JAMBO HALIKO SAWA
Spika kalipwa pesa na Silent, ili waalikwe.
Mwisho wa siku wanaitangaza Silent
 
NI UJINGA JUU YA UJINGA HADI KWENYE TAASISI NA MHIMILI MKUU WA NCHI.
WANASHINDWA KUALIKA WAVUMBUZI KAMA KINA KIPANYA, WATU MASHUHURI WALIOFANYIA NCHI MAKUBWA WAO WANAALIKA HAO JAMAA.
KAMA TAIFA KUNA JAMBO HALIKO SAWA
Na hawa lazima ukubali ya kuwa wamefanya uvumbuzi wa hali ya juu kurasimisha sector mpya ya UCHAWA, sasa mpaka rais ana kitengo cha CHAWA WA MAMA hii yote ni uvumbuzi wa viumbe hawa wawili walioamua kujitoa ufahamu alimradi tu waweze kuhudumia familia zao.
Hii imetufungua macho kwamba hata Makonda, Polepole, Bashiru, Slaa na wengineo kwamba kumbe nao walikuwa ni CHAWA wa Mwenda Jahanam Jiwe.
Hawa CHAWA mpaka wana rangi sijui BLUE CHAWA sijui na rangi gani nyingine yaani nchi iko zigzag bora liende.
CHAWA wanazidi kunenepeana tu huku mazoba wakipauka na lundo la mavyeti kwenye makabati yao [emoji38][emoji1787].
Nchii hii ni series ya comedy, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Sasa chawa wanaelekea kuwa kupe.
adult-chimpanzee-laying-down-mouth-260nw-741673.jpg
 
Back
Top Bottom