Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Upumbavu pumbavu tuu…NI UJINGA JUU YA UJINGA HADI KWENYE TAASISI NA MHIMILI MKUU WA NCHI.
WANASHINDWA KUALIKA WAVUMBUZI KAMA KINA KIPANYA, WATU MASHUHURI WALIOFANYIA NCHI MAKUBWA WAO WANAALIKA HAO JAMAA.
KAMA TAIFA KUNA JAMBO HALIKO SAWA
Na mfumo ndivyo unataka hivyoUpumbavu pumbavu tuu…
Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Zamani wa Dar, Ma-Dereva; alikuwa anamsema "Pierre Liquid". Pierre Liquid akawa mdogo kama "Punje ya Aladali".Kuna mkuu wa mkoa mmoja kwenye sherehe ya kampain ya tokomeza zero ya jokate mwegelo amewahi kusema nchii hii vitu vya hovyo ndo vinapewa attention na media ,alishambuliwa vikali sana ila aliongea ukweli.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kuna mkuu wa mkoa mmoja kwenye sherehe ya kampain ya tokomeza zero ya jokate mwegelo amewahi kusema nchii hii vitu vya hovyo ndo vinapewa attention na media ,alishambuliwa vikali sana ila aliongea ukweli.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Unaona mbali sana mkuu, tuna tatizo kubwa japo hatulijui na ukiwa na kimadaraka cha litaifa ule ugonjwa unajitokeza zaidi.NI UJINGA JUU YA UJINGA HADI KWENYE TAASISI NA MHIMILI MKUU WA NCHI.
WANASHINDWA KUALIKA WAVUMBUZI KAMA KINA KIPANYA, WATU MASHUHURI WALIOFANYIA NCHI MAKUBWA WAO WANAALIKA HAO JAMAA.
KAMA TAIFA KUNA JAMBO HALIKO SAWA
PichaPICHA: Watangazaji Brighton Mwemba maarufu Mwijaku na Revocatus Chipando maarufu Babalevo ni miongoni mwa Wageni waliofika Bungeni Dodoma leo February 02,2023 kujionea shughuli mbalimbali za Bunge zinavyoendeshwa kwa mwaliko wa Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson.
Watz wanapenda umbea na mambo ya kujua maisha ya watu.........Makonda alimsema yule mlevi Pierre,pamoja na mapungufu ya Bashite ila alikuwa sahihi sana....Kuna mkuu wa mkoa mmoja kwenye sherehe ya kampain ya tokomeza zero ya jokate mwegelo amewahi kusema nchii hii vitu vya hovyo ndo vinapewa attention na media ,alishambuliwa vikali sana ila aliongea ukweli.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ni aibu 😔Taifa lina recognize Chawa kuliko Academicians & Think tanks, then tunalalamika kwann Zero ni jingi mashuleni
Kila mtanzania ana haki ya kualikwa. Tusiwe na roho mbaya na chuki kias hiki jamaniNI UJINGA JUU YA UJINGA HADI KWENYE TAASISI NA MHIMILI MKUU WA NCHI.
WANASHINDWA KUALIKA WAVUMBUZI KAMA KINA KIPANYA, WATU MASHUHURI WALIOFANYIA NCHI MAKUBWA WAO WANAALIKA HAO JAMAA.
KAMA TAIFA KUNA JAMBO HALIKO SAWA
Spika kalipwa pesa na Silent, ili waalikwe.NI UJINGA JUU YA UJINGA HADI KWENYE TAASISI NA MHIMILI MKUU WA NCHI.
WANASHINDWA KUALIKA WAVUMBUZI KAMA KINA KIPANYA, WATU MASHUHURI WALIOFANYIA NCHI MAKUBWA WAO WANAALIKA HAO JAMAA.
KAMA TAIFA KUNA JAMBO HALIKO SAWA
Ikitokea nikawa Rais shule zote zitabaki kuwa majina ya maeneo husikaTupo hivi tulivo by design mkuu,
Ndio maana kuna shule inaitwa
Ally Happy
JOKate Mwongelo.... etc
Na hawa lazima ukubali ya kuwa wamefanya uvumbuzi wa hali ya juu kurasimisha sector mpya ya UCHAWA, sasa mpaka rais ana kitengo cha CHAWA WA MAMA hii yote ni uvumbuzi wa viumbe hawa wawili walioamua kujitoa ufahamu alimradi tu waweze kuhudumia familia zao.NI UJINGA JUU YA UJINGA HADI KWENYE TAASISI NA MHIMILI MKUU WA NCHI.
WANASHINDWA KUALIKA WAVUMBUZI KAMA KINA KIPANYA, WATU MASHUHURI WALIOFANYIA NCHI MAKUBWA WAO WANAALIKA HAO JAMAA.
KAMA TAIFA KUNA JAMBO HALIKO SAWA