Mwijaku na CV zake za UDSM

Mwijaku na CV zake za UDSM

Ili uwe chawa wa king kiba uwe na jiwe (degree) siyo chawa wa domo hadi leo lafudhi ya kiha haijamtoka au yule msukuma wa makonde tabu tupu hahahaa KING KIBA.
 
Mwijaku ana CV nzito lakini ni Chawa wa mtu wa darasa la saba. Nikionacho mimi na marumbano yanayoendelea yeye na timu ya Diamond hadi kupelekea kutoa vyeti vyake hadharani anakidhalilisha chuo chetu.

Kweli mtu mwenye degree unaweza kua mpuuzi kiasi kile? Kuna umuhimu mkubwa elimu yetu ifanyiwe marekebisho
Natamani miaka ingerudi nyuma alafu nishiriki kwenye ule mjadala "Education is better than money"
 
Back
Top Bottom