Mwijaku na “Wema wa Mama” wakimbia nchi, wanahofia nini?

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
346
Reaction score
2,968
Wema ‘wa Mama’ ameelekea South Africa, na ameenda jana Disemba 7 na taarifa za aliko tunazo.

Mwijaku yeye katimkia Dubai juzi Disemba 6. Na aliko taarifa zake pia tunazo.

Sasa hawa watetezi wa Mama kwanini wanaondoka dakika za lala salama?
 
Wema amekuwa akitishiwa na GenZ kutembelewa. Wamekuwa wanamkataza kumpa mama yake "sifa za kipumbavu"
 
Wema amekuwa akitishiwa na GenZ kutembelewa. Wamekuwa wanamkataza kumpa mama yake "sifa za kipumbavu"
Hvi yule ndg sjui mdg wake wakikamatwa na kesi ya ngada washatoka????

Ova
 
Wewe ungeweza kubaki..!
 
Hii shughuli watu wanaamsha siyo masihala ..nina jamaa yangu mjeda hapa ananiambia wao kesho wako na wananchi kuwalinda kola hatua
yaleyale ya october 29 huu upuuzi sio wakuukubali walianza tupiga mipini hawa wakuda .
 
Duuh kwambwa wameomba hifadhi? Hao wameenda kula bata wana maisha wana hela
 
Hii shughuli watu wanaamsha siyo masihala ..nina jamaa yangu mjeda hapa ananiambia wao kesho wako na wananchi kuwalinda kola hatua
Watawalindaje wananchi Hali hawana nyenzo za kutosha!!!?
 
ROSTAM AZIZI NI MSHENZI SANA ANA TUHALIBIA HII NCHI NA WAHUNI WA MISIKITINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…