Mwijaku na “Wema wa Mama” wakimbia nchi, wanahofia nini?

Hii shughuli watu wanaamsha siyo masihala ..nina jamaa yangu mjeda hapa ananiambia wao kesho wako na wananchi kuwalinda kola hatua
Wananchi wakae tu ndani watulie hata tarehe 29 ilisemekana jeshi lipo upande wa raia ili kilichotokea sasa
 
Hii shughuli watu wanaamsha siyo masihala ..nina jamaa yangu mjeda hapa ananiambia wao kesho wako na wananchi kuwalinda kola hatua
Huyo atakuwa mjeda *****! Yaani jeshi hili unaloliona linamaindi Sana wanakwambia USA yupo Nyuma ya hii saga. Na wanasema isingetumika Ile nguvu dola ilikuwa inaanguka. Ambacho hujui hadi mercenary wa Russia walikuwepo na ndo walisaidia . Sasa wewe pangu pakavu toka Kesho umpambanie mme wako USA halafu uone kama utarudi kwenu
 
wengine si sehemu yao
Wengine Wana weza kuwa Wana sophisticated RPGs, SMGs, launcher etc. Tena Zina infrared for night vision...na they might be highly trained for urban warfare...!!!
===
Si tishi mtu bali nataka tuwe na uhalisia wa tunachokiendea na tupime kweli tuna mudu gharama za tunachokiendea!!? Tuwe realistic tukiwa open minded.
 
Huyo atakuwa mjeda *****! Yaani jeshi hili unaloliona linamaindi Sana wanakwambia USA yupo Nyuma ya hii saga. Na wanasema isingetumika Ile nguvu dola ilikuwa inaanguka. Ambacho hujui hadi mercenary wa Russia walikuwepo na ndo walisaidia . Sasa wewe pangu pakavu toka Kesho umpambanie mme wako USA halafu uone kama utarudi kwenu
Kesho utapata majibu k wewe
 
Hii shughuli watu wanaamsha siyo masihala ..nina jamaa yangu mjeda hapa ananiambia wao kesho wako na wananchi kuwalinda kola hatua
Hao wajeda hawana maana mkiwasikiliza mtapotea
 
Hii shughuli watu wanaamsha siyo masihala ..nina jamaa yangu mjeda hapa ananiambia wao kesho wako na wananchi kuwalinda kola hatua
Hao walevi hawaaminiki Tena na watanganyika!
 
Hii shughuli watu wanaamsha siyo masihala ..nina jamaa yangu mjeda hapa ananiambia wao kesho wako na wananchi kuwalinda kola hatua
Hao washajishushia heshima hao daima, wameshachafuka na hawaaminiki tena
 
Wema ‘wa Mama’ ameelekea South Africa, na ameenda jana Disemba 7 na taarifa za aliko tunazo.

Mwijaku yeye katimkia Dubai juzi Disemba 6. Na aliko taarifa zake pia tunazo.

Sasa hawa watetezi wa Mama kwanini wanaondoka dakika za lala salama?
Tena kale kanabakwa kiulaainiiiiiiiiii
 
Wema ‘wa Mama’ ameelekea South Africa, na ameenda jana Disemba 7 na taarifa za aliko tunazo.

Mwijaku yeye katimkia Dubai juzi Disemba 6. Na aliko taarifa zake pia tunazo.

Sasa hawa watetezi wa Mama kwanini wanaondoka dakika za lala salama?
Wa Kigamboni wenzangu twendeni tukalisalimie ghorofa lake la bilioni 20 analotutukania sisi maskini.
 
Wenzako wanafanya safari za kikazi we umekaa kwa shemeji yako unakula na kulala bure unasema wamekimbia nchi, ukiona wanafanya maendeleo unawawekea chuki na kuhamasisha maandamano uchwara ya kwenda kuwaibia mali zao, kweli nyumbu hamna akili
 
Wema ‘wa Mama’ ameelekea South Africa, na ameenda jana Disemba 7 na taarifa za aliko tunazo.

Mwijaku yeye katimkia Dubai juzi Disemba 6. Na aliko taarifa zake pia tunazo.

Sasa hawa watetezi wa Mama kwanini wanaondoka dakika za lala salama?
Ndio kusema wamekuwa wakimbizi? Sasa sijui ni wa kisiasa au wa kiuchumi
 
Back
Top Bottom