Mwijaku vipi, ameshamkabidhi Mke wake kwa Ali Kamwe?

Mwijaku vipi, ameshamkabidhi Mke wake kwa Ali Kamwe?

Yani hizi clip nimecheka walah, mzee mpili anavoshughulika kama kweli, Ally nae bize na hiyo kanzu kama anaoa kweli, nimecheka.

Nilitamani waende kwa mwijaku
Ngoja tuone mwisho wa hii cinema itakuaje
 
Back
Top Bottom