Mwijaku: Watanzania wakimuona Hamisa Mobetto wanatetemeka

Mwijaku: Watanzania wakimuona Hamisa Mobetto wanatetemeka

Huyu ndio nani huko daslamu? Mod naomba muweke jukwaa la watu wa daslamu wadiscuss mambo yao vyeeema na kwa uhuru wengine hatuelewi kitu..
 
Huyu jamaa hana mshipa wa aibu,yaani pamoja na ile scandal yake na Menina lkn bado anapenda kuuza sura.

Ila kamuharibia sana maisha binti wa watu,kwani video zake zipo kwe site na zitaendelea kuwepo.

Sijui kama hata shughuliza zake za uMC kama anazifanya siku hizi.
Menina alishakosa hata deal ya harusi ya ndani ya familia yao. Hamna mtu anataka kumuona
 
Mimi nawalaumu hao wanaotumia huo muda wao kumhoji Mwijaku.
 
Back
Top Bottom