Assante sana mkuu ntalifanyia kaziJaribu dawa za wamasai tena wale wa porini kabisa sio hawa wa huku mjini wala samaki.
Kuna dawa ya mzizi anaenda kukuchimbia ni chungu sijawahi ona kitu chenye uchungu huo yaani ukiinywa tuu utaleata mrejesho humu
Unahisi vitu kuchoma choma ukiwa juwani ?Nshacheki mkuu nashukuru Mungu niko salama
Sawa mkuu lakini kwa sasa nipo dar ngoja tuone itavyokuwaKuna Dr mmoja mstaafu wa ngozi ana pharmacy yake morogoro mjini kati karibu na ofisi za abood kwa nyuma. Mbele ya hiyo pharmacy kuna vijana wanauza mitumba. Ametibia watu wengi matatizo ya ngozi kwa bei ndogo akiwepo mtoto wangu na mke wa mshikaji wangu. Mjaribu huyo
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili kwa muda mrefu nimeenda hospital naaishiwa kupewa dawa tu bila mafanikio, nimekuwa natokwa na vipele vidogo dogo mwilini vinyavyokaa kwa muda na kaacha makovu meusi huku mwili ukiwa kama kuna sindano zinachoma choma pamoja na kuwashwa njia ya aja kubwa pia maumivu kwenye mifupa yanayoama ama sehem tofauti za mwilini . Naomba msaada wenu wakuu
Assante sana mwezi mmoja nyuma nilikunywa vumtlex mkuu
Sawa mkuu ngoja nijaribu huu ushauri tuoneOk ! Tafuta vidonge vya GRISEOFULVIN 500MG . Meza mara moja kwa siku kwa muda wa siku 14 kwanza ! Meza wakati wa kula !
Pia unaweza rudia dozi ya Minyoo kwa kumeza dawa aina ya ALBENDAZOLE 400MG kila siku kwa muda wa siku 3 ! Tafuna kidonge cha 400MG muda wa alfajiri ! Usitumie chai ya/maziwa kwa kipindi utumiapo Albendazole.
Pia tumia sabuni ya Dettol kuogea.
Baada ya hapo tutaangalia maendeleo !
Mm wakati wa jua au joto jingi napata taabu sanaaUnahisi vitu kuchoma choma ukiwa juwani ?
Ulipata tiba mkuu namm vinanisumbua sanaMm wakati wa jua au joto jingi napata taabu sanaa