Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,066
- 1,194
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili kwa muda mrefu nimeenda hospital naaishiwa kupewa dawa tu bila mafanikio, nimekuwa natokwa na vipele vidogo dogo mwilini vinyavyokaa kwa muda na kaacha makovu meusi huku mwili ukiwa kama kuna sindano zinachoma choma pamoja na kuwashwa njia ya aja kubwa pia maumivu kwenye mifupa yanayoama ama sehem tofauti za mwilini . Naomba msaada wenu wakuu