Mwili kukosa madini, nitumie nini?

Mwili kukosa madini, nitumie nini?

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello Ndugu zanguni , naombeni msaada wenu waungwana wangu. Nina tatizo kwenye miguu kila ninaporuka kidogo tu kukwepa dimbwi la maji au kamtaro kidogo tuu, miguu inakuwa kama.

Inaogopa vile na kukosa nguvu kabisa, hata kama nashuka ngazi au kupanda nakosa balance kabisa , naombeni msaada wenu please, nitumie supplement zipi wakuu?
 
Back
Top Bottom