Mwili kutetemeka wakati unatoa haja ndogo

Mwili kutetemeka wakati unatoa haja ndogo

M.KIZEGA

Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
20
Reaction score
2
Nimekuwa nkijiuliza siku zote bila kupata majibu, hali ya kutetemeka mwili pale ninapotoa haja ndogo hasa kwa wanaume husababishwa nini?

Ningependa kufahamu hili wanataaluma.

Ahsante
 
Nimekuwa nkijiuliza siku zote bila kupata majibu,hali ya kutetemeka mwili pale nnapotoa haja ndogo husababishwa nini?.Ningependa kufahamu hili wanataaluma..Ahsante

We utakuwa mgonjwa...

Hii kitu ndo nasikia leo..
 
hata mimi inanitokeaga ila time ya baridi
 
Sio kutetemeka mwili.... Sema mwili kusisimka bhanaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimekuwa nkijiuliza siku zote bila kupata majibu,hali ya kutetemeka mwili pale nnapotoa haja ndogo husababishwa nini?.Ningependa kufahamu hili wanataaluma..Ahsante

Najaribu tu: mwili wa binadamu huwa na jotoridi 36.9 hivi. binadamu anapokojoa, ule mkojo husababisha joto hilo kupungua kwa sababu mkojo huo hutoka na joto(urine takes away some body temperature). kwa hiyo mwili hutetemeka ili kurudishia(restore) jotoridi lililoptea. kutetemeka ni kama vile mtu wa mazoezi anavyopasha ili mwili uchemke.
nawaachia wataalam
 
uliposema ni ugonjwa ukanshawishi niwaulize na wengine majibu yao ynaonesha hali hii ni ya kawaida,wengi wanasema huwatokea wakijisaidia baada y kuibana sana haja na wengine wanasema huwatokea kpindi cha baridi.Nnachotaka kujua ni nini kisababishacho hali hii.Asante sixt
 
Back
Top Bottom