Mwili kutetemeka

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,450
Reaction score
600
Kuna wakati rafiki yangu anajikuta anatetemeka mwili. hasa anapokunywa pepsi au koka halafu akichelewa kula kidogo hiyo hali humtokea hata kama hasikii njaa anaanza kutetemeka ndani kwa ndani baada ya muda anakuwa ok. Hii inasababishwa na nini? na ni namna gani ya kuepuka?
 

Nasubiri wadau wenye utaalamu mnijuze najua JF ndo kila kitu
 
Mwambie akaombewe kwa Askofu Mkuu Kakobe atakuwa na pepo.
 
ana mapepo wa kula kula huyo mepleke kwa kakobe akaombewe
 
Naam uyo jamaa ana mapepu ya Asili asijisumbue yende akafanyiwe tambiko la Asili ya baba
 
huo ugonjwa kitaalamu tunaita parkson disease ni magonjwa yanayuhiska na usukumaji damu wa moyo na neva ni kama wa lowasa huja kutokana na hali fulan labda vinywaj vyakula furaha huzun hofu na nk
 
mwili wa binadamu una neurons bilion 86 na zote zimeumganisha na neurotransmiter kupungua kwa Dopamine level ndio inaleta hali hiyo cha kufanya kula vyakula vilivyo kua na wingibwa tyrosine kwa wingi
 
mwili wa binadamu una neurons bilion 86 na zote zimeumganisha na neurotransmiter kupungua kwa Dopamine level ndio inaleta hali hiyo cha kufanya kula vyakula vilivyo kua na wingibwa tyrosine kwa wingi
Taja hivyo vyakula mkuu
 
kitaalamu hivyo vyakula tunaviita amino acid yaan protein kama mayai nyama samaki spinach kabichi papai tikiti parachichi ndiz hivyo vina wing wa amino acid
Hapo umeniweka sawa maana wengine cc wachumi ukileta habari za amino acid cjui nini ni kitendawili kwangu- thanks in advance.
 
Hali zenu jamani, hayo yamesha nikuta hata mm mwili ua unatetemeka kwa muda wa msa2 hivyo ao vidole vya mkono utetemeka kama mzee wa miaka 90 vile, nilifanyiwa check up Ospitali nchini south Africa ndani ya Free state bethlehem mpaka pentown lakini ikawa negatif , ilibidi nishuke home sweet home! Sindio ikagundulika kua ni tambiko! Kwaio unapo kosa maradhi kitaalikitaalam jaribu na Asilietu pia TV Za ASILI.
 
Anaonja msisimko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…