Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,450
- 600
Kuna wakati rafiki yangu anajikuta anatetemeka mwili. hasa anapokunywa pepsi au koka halafu akichelewa kula kidogo hiyo hali humtokea hata kama hasikii njaa anaanza kutetemeka ndani kwa ndani baada ya muda anakuwa ok. Hii inasababishwa na nini? na ni namna gani ya kuepuka?