Paul Buchira
R I P
- Aug 5, 2013
- 1,043
- 564
Daaa! Aisee ni sheedaMara Paap TANESCO wanaomba tenda ya kuja kuzalisha umeme kupitia nyie!! Duuh itakuwa poa sana na tatizo la kukatakata umeme litaisha
[HASHTAG]#UtaniMkuu[/HASHTAG]
Utani tu mkuu [emoji3]Daaa! Aisee ni sheeda
wewe jamaa utakuwa na superpower.....Habari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu.
Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na partner wangu huhisi kitu kama shoti ya umeme. Pia mara kadhaa nimekuwa nikikutana na hii hali baada ya kutoka kufanya mapenzi. Kwa mfano, siku moja baada ya kumaliza tendo nilitoka na mpenzi wangu kwenda kutembea kuna mahali tuligusana tukahisi kitu kama shoti na kila mtu alishituka.
Siku nyingine after sex nilikwenda restaurant kwa ajili ya chakula, niligusa chombo cha kuwekea sabuni tu nilikutana na hali hiyo.Nilichunguza na kujua kuwa sex ni chanzo but nataka kujua hali hii ipoje scientifically and spiritually.
Usitembeee nje siku ya mvua kubwa na radiHabari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu.
Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na partner wangu huhisi kitu kama shoti ya umeme. Pia mara kadhaa nimekuwa nikikutana na hii hali baada ya kutoka kufanya mapenzi. Kwa mfano, siku moja baada ya kumaliza tendo nilitoka na mpenzi wangu kwenda kutembea kuna mahali tuligusana tukahisi kitu kama shoti na kila mtu alishituka.
Siku nyingine after sex nilikwenda restaurant kwa ajili ya chakula, niligusa chombo cha kuwekea sabuni tu nilikutana na hali hiyo.Nilichunguza na kujua kuwa sex ni chanzo but nataka kujua hali hii ipoje scientifically and spiritually.
Habari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu.
Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na partner wangu huhisi kitu kama shoti ya umeme. Pia mara kadhaa nimekuwa nikikutana na hii hali baada ya kutoka kufanya mapenzi. Kwa mfano, siku moja baada ya kumaliza tendo nilitoka na mpenzi wangu kwenda kutembea kuna mahali tuligusana tukahisi kitu kama shoti na kila mtu alishituka.
Siku nyingine after sex nilikwenda restaurant kwa ajili ya chakula, niligusa chombo cha kuwekea sabuni tu nilikutana na hali hiyo.Nilichunguza na kujua kuwa sex ni chanzo but nataka kujua hali hii ipoje scientifically and spiritually.
mkapime kiwango cha sukari na bpHabari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu.
Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na partner wangu huhisi kitu kama shoti ya umeme. Pia mara kadhaa nimekuwa nikikutana na hii hali baada ya kutoka kufanya mapenzi. Kwa mfano, siku moja baada ya kumaliza tendo nilitoka na mpenzi wangu kwenda kutembea kuna mahali tuligusana tukahisi kitu kama shoti na kila mtu alishituka.
Siku nyingine after sex nilikwenda restaurant kwa ajili ya chakula, niligusa chombo cha kuwekea sabuni tu nilikutana na hali hiyo.Nilichunguza na kujua kuwa sex ni chanzo but nataka kujua hali hii ipoje scientifically and spiritually.
Imewahi kunitokea wakati nimejiegesha (nimepitiwa usingizi) kwenye KOCHI...!Ukweli huwa ipo hii. Mimi imekuwa inanitokea Mara nyingi tu ila si baada ya ngono.. Inanitokea hata ukigusa na yeyote japo in Mara chache na in kwa kustukiza.
Wataalamu saidieni hapa
Umekulana na jini wewe..Habari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu.
Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na partner wangu huhisi kitu kama shoti ya umeme. Pia mara kadhaa nimekuwa nikikutana na hii hali baada ya kutoka kufanya mapenzi. Kwa mfano, siku moja baada ya kumaliza tendo nilitoka na mpenzi wangu kwenda kutembea kuna mahali tuligusana tukahisi kitu kama shoti na kila mtu alishituka.
Siku nyingine after sex nilikwenda restaurant kwa ajili ya chakula, niligusa chombo cha kuwekea sabuni tu nilikutana na hali hiyo.Nilichunguza na kujua kuwa sex ni chanzo but nataka kujua hali hii ipoje scientifically and spiritually.
Are you the first to her? If so, can you let her test it with different person than you?(particular me)She is not the first...
Nimecheka sana sanaMara Paap TANESCO wanaomba tenda ya kuja kuzalisha umeme kupitia nyie!! Duuh itakuwa poa sana na tatizo la kukatakata umeme litaisha
[HASHTAG]#UtaniMkuu[/HASHTAG]