Mwili kuwa na umeme baada au wakati wa kufanya mapenzi

unaonekana umekanyaga jibu.lakn kwanini utuchoshe
??? wengine niwazee sasa hayo mambo tumeacha darasan tunakimbizana na siasa.....
 
Habari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu.

Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na partner wangu huhisi kitu kama shoti ya umeme. Pia mara kadhaa nimekuwa nikikutana na hii hali baada ya kutoka kufanya mapenzi. Kwa mfano, siku moja baada ya kumaliza tendo nilitoka na mpenzi wangu kwenda kutembea kuna mahali tuligusana tukahisi kitu kama shoti na kila mtu alishituka.

Siku nyingine after sex nilikwenda restaurant kwa ajili ya chakula, niligusa chombo cha kuwekea sabuni tu nilikutana na hali hiyo.Nilichunguza na kujua kuwa sex ni chanzo but nataka kujua hali hii ipoje scientifically and spiritually.
wewe jamaa utakuwa na superpower.....
 
Usitembeee nje siku ya mvua kubwa na radi
 
mkapime kiwango cha sukari na bp
 
Ukweli huwa ipo hii. Mimi imekuwa inanitokea Mara nyingi tu ila si baada ya ngono.. Inanitokea hata ukigusa na yeyote japo in Mara chache na in kwa kustukiza.
Wataalamu saidieni hapa
Imewahi kunitokea wakati nimejiegesha (nimepitiwa usingizi) kwenye KOCHI...!

Ni mfano wa shoti ya Umeme 100%
 
Habari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu.

Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na partner wangu huhisi kitu kama shoti ya umeme. Pia mara kadhaa nimekuwa nikikutana na hii hali baada ya kutoka kufanya mapenzi. Kwa mfano, siku moja baada ya kumaliza tendo nilitoka na mpenzi wangu kwenda kutembea kuna mahali tuligusana tukahisi kitu kama shoti na kila mtu alishituka.

Siku nyingine after sex nilikwenda restaurant kwa ajili ya chakula, niligusa chombo cha kuwekea sabuni tu nilikutana na hali hiyo.Nilichunguza na kujua kuwa sex ni chanzo but nataka kujua hali hii ipoje scientifically and spiritually.
Umekulana na jini wewe..
 
Duuh, kuna haja ya Kufunga umeme nyumbani kwenu akati nyie ni chanzo cha umeme?

Aisee oaneni kabisa maana umeme wenu utakua haukatiki,, haihitajiki luku wala nini... Luku yenu ni sex tu
 
Mara Paap TANESCO wanaomba tenda ya kuja kuzalisha umeme kupitia nyie!! Duuh itakuwa poa sana na tatizo la kukatakata umeme litaisha

[HASHTAG]#UtaniMkuu[/HASHTAG]
Nimecheka sana sana
 
Back
Top Bottom