uji ni uji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], maana ya kule ushaileta huku[emoji23][emoji23]
Asante mkuu...Nimepata mwanga kidogo.Naona hujajibiwa. .... Mbwa kwenye ndoto wanawakilisha malaya au wachawi.
Kwa tafsiri zaidi tafuta mtumishi wa kilokole mwenye uwezo wa kutafsiri akutafsirie!
Mtoto kwenye ndoto anawakilisha malaika