Mwili umekufa ganzi kwa ziara za usiku wa manane

Duh,, uji vikombe vitatu,, kila siku na ni kawaida yko kumbe,, una hatari ww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], maana ya kule ushaileta huku[emoji23][emoji23]
 
uji ni uji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Naona hujajibiwa. .... Mbwa kwenye ndoto wanawakilisha malaya au wachawi.

Kwa tafsiri zaidi tafuta mtumishi wa kilokole mwenye uwezo wa kutafsiri akutafsirie!

Mtoto kwenye ndoto anawakilisha malaika
 
Asante mkuu...Nimepata mwanga kidogo.
 
Back
Top Bottom