Mwili umetokewa na vivimbe

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,437
Habari... Naomba nisaidieni tatizo itakuwa nini..mwili umevimba kila mahali kasoro miguuni na usoni
 

Attachments

  • IMG_20190920_163052_7.jpeg
    15.1 KB · Views: 22
Nenda hospital kamuone doctor wa maswala ya ngozi.
 
Ndio ugonjwa ambao WHO Walitudokezea? usiogope Hiyo itakuwa mzio au unatatizo tumboni... nenda hospt
 
Habari... Naomba nisaidieni tatizo itakuwa nini..mwili umevimba kila mahali kasoro miguuni na usoniView attachment 1212197
Pole sana ndugu yangu... ila bora useme huo ugonjwa huja wakati gani?? Kwa uzoefu wangu kuna wengine wana aleji na kitu flani mfano kula nyama au chakula chochote wengine hali ya hewa mfano baridi basi akijikuna tu huvimba.. kama tatizo lako linatokana na hayo usiogope dawa ninayo ila kama ni zaidi ya hivo pole wahi hosptal....
 
Utakuwa na allergy. Unahitaji antihistamine na hali itakuwa ok.

Ni vzr ukapime Pia minyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…