PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh labda allergy, nenda hospital
Hata mimi huwa inanitokea nameza hizo dawa hali inapotea kabisaMeza cetizine
Pole sana ndugu yangu... ila bora useme huo ugonjwa huja wakati gani?? Kwa uzoefu wangu kuna wengine wana aleji na kitu flani mfano kula nyama au chakula chochote wengine hali ya hewa mfano baridi basi akijikuna tu huvimba.. kama tatizo lako linatokana na hayo usiogope dawa ninayo ila kama ni zaidi ya hivo pole wahi hosptal....Habari... Naomba nisaidieni tatizo itakuwa nini..mwili umevimba kila mahali kasoro miguuni na usoniView attachment 1212197
Meza cetizine
Habari... Naomba nisaidieni tatizo itakuwa nini..mwili umevimba kila mahali kasoro miguuni na usoniView attachment 1212197
Picha ya pili umeipiga sehemu gani?
Ngozi nyeupe kabisa na nywele nyeusi kwa mbali kule pembeneni.[emoji23][emoji23]
Hapanaulijikuna?