Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Bado siamini nilichokiona.Yaani mchezaji mkubwa km Ali Sonzo,mchezaji ambaye amepata kucheza timu ya Taifa na Club kubwa km Yanga maiti yake kubebwa kwenye Kirikuu km kitanda cha msela anaehama geto kweli!!! Hata bongo movie kwa sasa wanatucheka. Angalau wao wanajua kusitiliana mara 100 ya hiki kilichotokea kwa mwanasoka mwenzetu. Maswali muhimu ya kujiuliza ni je!
1. TFF Walishindwa hata kutumia kile ki-minbus chao kubeba mwili wa marehemu?
2. Vipi kwa taasisi kubwa ya jeshi km JKT(RUVU SHOOTING) mwajili wa marehemu nao walishindwa vipi kutoa bus au hata Ambulance?
3. Lakini vipi kuhusu club ya Yanga ambayo marehemu alipata kuichezea miaka 2 tu iliyopita,Hawakuona wanapaswa walau kutoa bus kubeba mwili wa marehemu km heshima ya kumuenzi?
4. Je Familia ya wanasoka kwa ujumla wakiongozwa na wachambuzi wetu wameshindwa kukodi gari maalum la kubebea maiti? Kweli!!
Sasa ndo nimeamini maneno ya Oscar oscar,mpira wetu umejaa usela na masela.