Mwili wa Ali Sonzo kubebwa kwenye Kirikuu ni aibu kubwa kwa mpira wa Tanzania.

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Bado siamini nilichokiona.Yaani mchezaji mkubwa km Ali Sonzo,mchezaji ambaye amepata kucheza timu ya Taifa na Club kubwa km Yanga maiti yake kubebwa kwenye Kirikuu km kitanda cha msela anaehama geto kweli!!! Hata bongo movie kwa sasa wanatucheka. Angalau wao wanajua kusitiliana mara 100 ya hiki kilichotokea kwa mwanasoka mwenzetu. Maswali muhimu ya kujiuliza ni je!
1. TFF Walishindwa hata kutumia kile ki-minbus chao kubeba mwili wa marehemu?
2. Vipi kwa taasisi kubwa ya jeshi km JKT(RUVU SHOOTING) mwajili wa marehemu nao walishindwa vipi kutoa bus au hata Ambulance?
3. Lakini vipi kuhusu club ya Yanga ambayo marehemu alipata kuichezea miaka 2 tu iliyopita,Hawakuona wanapaswa walau kutoa bus kubeba mwili wa marehemu km heshima ya kumuenzi?
4. Je Familia ya wanasoka kwa ujumla wakiongozwa na wachambuzi wetu wameshindwa kukodi gari maalum la kubebea maiti? Kweli!!

Sasa ndo nimeamini maneno ya Oscar oscar,mpira wetu umejaa usela na masela.
 
Mkuu ukifa umekufa tu,zinazobaki Ni mbwembwe,huku kijijini kwetu tunabeba miili ya wafu kwenye baiskeli,

Hata Ubebwe kwenye ndege haisaidii mkuu.

Naipongeza familia kwa uamuzi wa kupunguza gharama kwa Mambo yasiyo na tija,hizo pesa zilizookolewa zitasaidia familia ya Marehemu.
 
kuwa mchezaji sio kigezo cha TFF kubeba majukumu yako
inategemea alipokuwa hai alishirikije
 
Bado siamini nilichokiona.Yaani mchezaji mkubwa km Ali Sonzo,mchezaji ambaye amepata kucheza timu ya Taifa na Club kubwa km Yanga maiti yake kubebwa kwenye Kirikuu km kitanda cha msela anaehama geto kweli!!! Hata bongo movie kwa sasa wanatucheka. Angalau wao wanajua kusitiliana mara 100 ya hiki kilichotokea kwa mwanasoka mwenzetu. Maswali muhimu ya kujiuliza ni je!
1. TFF Walishindwa hata kutumia kile ki-minbus chao kubeba mwili wa marehemu?
2. Vipi kwa taasisi kubwa ya jeshi km JKT(RUVU SHOOTING) mwajili wa marehemu nao walishindwa vipi kutoa bus au hata Ambulance?
3. Lakini vipi kuhusu club ya Yanga ambayo marehemu alipata kuichezea miaka 2 tu iliyopita,Hawakuona wanapaswa walau kutoa bus kubeba mwili wa marehemu km heshima ya kumuenzi?
4. Je Familia ya wanasoka kwa ujumla wakiongozwa na wachambuzi wetu wameshindwa kukodi gari maalum la kubebea maiti? Kweli!!

Sasa ndo nimeamini maneno ya Oscar oscar,mpira wetu umejaa usela na masela.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Nchi yetu hii imejaa very irresponsible people. Nakumbuka yule mkurugenzi wa halmshauri ya mara yeye waliweka maiti juu ya carrier ya landcruiser. Aibu kubwa na lawama ziende kwa TFF.
 
Mkuu ukifa umekuta tu,zinazobaki Ni mbwembwe,huku kijijini kwetu tunabeba miili ya wafu kwenye baiskeli,

Hata Ubebwe kwenye ndege haisaidii mkuu.

Naipongeza familia kwa uamuzi wa kupunguza gharama kwa Mambo yasiyo na tija,hizo pesa zilizookolewa zitasaidia familia ya Marehemu.
Kuokoa gharama? Kwamba pesa zitasaidia familia?Kichekesho.Hivi unajua kuna watu wanaendesha maisha yao kwa kuiba michango ya misiba?Si hilo tu.Wanaamka asubuhi na kupeleleza wapi misiba ipo na kufanya jitihada za kuingia kwenye kamati za mazishi ili watimize uovu wao!Chunguza.Utazimia kwa vituko vyao.
 
Shughuli yoyote public ikihusisha wanachama wa lile genge la kijani tegemea upigaji
 
Bado siamini nilichokiona.Yaani mchezaji mkubwa km Ali Sonzo,mchezaji ambaye amepata kucheza timu ya Taifa na Club kubwa km Yanga maiti yake kubebwa kwenye Kirikuu km kitanda cha msela anaehama geto kweli!!! Hata bongo movie kwa sasa wanatucheka. Angalau wao wanajua kusitiliana mara 100 ya hiki kilichotokea kwa mwanasoka mwenzetu. Maswali muhimu ya kujiuliza ni je!
1. TFF Walishindwa hata kutumia kile ki-minbus chao kubeba mwili wa marehemu?
2. Vipi kwa taasisi kubwa ya jeshi km JKT(RUVU SHOOTING) mwajili wa marehemu nao walishindwa vipi kutoa bus au hata Ambulance?
3. Lakini vipi kuhusu club ya Yanga ambayo marehemu alipata kuichezea miaka 2 tu iliyopita,Hawakuona wanapaswa walau kutoa bus kubeba mwili wa marehemu km heshima ya kumuenzi?
4. Je Familia ya wanasoka kwa ujumla wakiongozwa na wachambuzi wetu wameshindwa kukodi gari maalum la kubebea maiti? Kweli!!

Sasa ndo nimeamini maneno ya Oscar oscar,mpira wetu umejaa usela na masela.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Haitomfaa mtu mali yake wala alichokichuma.Kwa muislam maiti yake sanda na ubao na (Amali)matendo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kwanini tunailaumu TFF na si Wizara ya Michezo?

Pengine Marehemu alikosa huduma za msingi kabla ya kifo chake kwa kuwa sie Wapenzi wa Mpira hatukupaza sauti kama ilivyofanywa kwa Prof J

Sie 'Wadau wa Soka' tunafanya nini kumsaidia yule Mchezaji wa Polisi aliemuia mchezoni…au tunasubiri ku comment kulaunu Jeshi la Polisi na TFF?
 
Back
Top Bottom