Taifa Digital Forum
Member
- Jun 4, 2022
- 68
- 184
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amemtaka aliyehusika na mauaji ya Askari Polisi kwa kutumia mshale wakati wa uwekaji wa mpaka Loliondo Mkoani humo ajisalimishe. Amesema hayo leo wakati wa kuaga mwili wa marehemu Garlus Mwita, ambao umepelekwa kwao Musoma Mkoani Mara.