Taifa Digital Forum
Member
- Jun 4, 2022
- 68
- 184
So sad watu wanakesha kuchochea kwenye spaces na club houses wakiwa nje ya nchi au nyuma ona sasa wamegharimu na kukatisha maisha ya kijana wa watu mdogo kabisa
WORD IS MIGHTER THAN THE SWORD
Tumia basi ubongo hata kidogo, kwa hiyo hizo picha wametoa wapi? Huyo mwekezaji wa eneo la karibu hala ndege ndogo ambazo anaweza kutoa kama maaada na kuguswa kwake kwa msiba huo?Ni askari namba ngapi? Bado mnaamini watu huwa wanakubali utapeli wa hivyo kirahisi? Polisi wa kawaida asafirishwe kwa ndege?
Tumia basi ubongo hata kidogo, kwa hiyo hizo picha wametoa wapi? Huyo mwekezaji wa eneo la karibu hala ndege ndogo ambazo anaweza kutoa kama maaada na kuguswa kwake kwa msiba huo?
Watapeli ili iweje?Picha wametoa wapi? Ni wapi unaweza kudhibitisha hizo picha ni za leo? Ogopa matapeli.
Ndio maana hujawa askari.Na maaskari wao ni kufata order tu, wakati mwingine wanakuwa wajinga kweli.
Mara nyingi sana.....Askari polisi wengi wa kiafrika wanapoteza maisha wakiwa kwenye harakati za kulinda maovu ya wanasiasa wa chama tawala
Ndivyo kazi yake inavyomtaka.Na maaskari wao ni kufata order tu, wakati mwingine wanakuwa wajinga kweli.
Eeee ni kweli maana mi naona wengi wao wana akili ndogo.Ndio maana hujawa askari.