Mwili wa binadamu

Mwili wa binadamu

idorome

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
28
Reaction score
7
Mimi sio daktrari lakini nimejaribu kuuchunguza sana mwili wa binadamu unapotembea sehemu mbalimbali, milima mikali, miteremko,sehemu inayoteleza na zinginezo, swali ninalojiuliza hivi mwili wa binadamu una mfumo wa gear kama gari? kama kwenye mwinuko unapanda na namba moja na kwenye tope unaweka wenyewe 4WD au inakuaje, naomba kujuzwa
 
Back
Top Bottom