Mwili wa DMX ukitolewa hospitali New York kwenda kwenye hifadhi ya maiti

Mwili wa DMX ukitolewa hospitali New York kwenda kwenye hifadhi ya maiti

I'm going to the same shit like a boy DMX. The drugs are killing me
Don't you give up the fight so easy mkuu! Usijitamkie kabisa kuwa umeshasurrender na kuwa unasubiri the same fate that the boy DMX has faced. Amua kuanzia sasa kuchukua hatua ya kuacha na upambane kweli kweli. Usiisikilize hiyo sauti inayokuambia kuwa umefika a point of no return. You still have a life, get up and fight.
 
Don't you give up the fight so easy mkuu! Usijitamkie kabisa kuwa umeshasurrender na kuwa unasubiri the same fate that the boy DMX has faced. Amua kuanzia sasa
Yhe
Pole tutakumiss kule madrid ila bado una chance japo ni ngumu kutoka kwenye uraibu


Mimi siwezi kutoka tena
I abuse myself so L I feel to suicide myself. Lakini niko na watoto wawili
 
Back
Top Bottom