Mwili wa DMX ukitolewa hospitali New York kwenda kwenye hifadhi ya maiti

Mwili wa DMX ukitolewa hospitali New York kwenda kwenye hifadhi ya maiti

Apumzike kwa amani shujaa wa Afrika DMX.
Siku hizi ukishakuwa maarufu na mweusi tayari ni shujaa wa Africa.
 
Ukipendwa raha bwana [emoji39][emoji7]

Hadi nimejihisi kulia

Rest in eternal peace DMx [emoji22][emoji174][emoji31][emoji31]
 
I'm going to the same shit like a boy DMX. The drugs are killing me
Tena kwa huu uchafu mnaovutishwa hapa Bongo soon utaenda na maji kama unavyojitabiria na tutaimba parapanda kwa unyenyekevu tukiwa tumewabeba watoto wako na tutawasishi wasiwe wabinafsi kama marehemu baba yao.
Mkeo tutamuomba namba ya simu tuwe tunamjulia hali zile siku za mwanzo ila baada ya muda tutamsahau na tukikutana naye hatutamuita tena shemeji.
Ndugu na wazazi wako tutawaambia "kazi ya Mungu haina makosa" tukiwa tunatazama chini kwa aibu kwasababu tunajua sio kazi ya Mungu bali ni ubinafsi wako ndiyo umekutoa duniani.
Kaburi lako tutalitembelea mara moja tu alafu tutasahau kama ulikuwepo duniani.

Kila la heri PAGAN
 
Msamehe bure Extrovert kwenye simu yake emoji pekee ipo active ni hiyo, wala hana maana ya kukucheka, he is just that anachekaga zake kwenye kila kitu kaka wa watu, hata iwe msiba..!!
[/QUOTE a)
Hakun noma kaka, may nahitaji mtu ambaye anayenilewa
 
Jamani Mkuu PAGAN hebu ongea anzisha uzi jinsi unayoyapitia utapata ushauri. Maana wanasema kuongea kuhusu tatizo ni hatua ya kutibu hilo tatizo
 
Back
Top Bottom